NEWS:TANZIA: ILUNGA KHALIFA ‘CPWAA’ AFARIKI DUNIA

0

TANZIA: ILUNGA KHALIFA ‘CPWAA’ AFARIKI DUNIA Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Ilunga Khalifa ‘CPwaa’ amefariki alfajiri ya Januari 17 akiwa Muhimbili akitibiwa ‘Pneumonia CPwaa alikuwa kwenye Kundi la Park Lane pamoja na Suma Lee

Taarifa rasmi kutoka kwa ndugu wa karibu wa C Pwaa zinathibitisha CP kuugua ugonjwa wa Nimonia na alifikishwa hospitalini kwa matibabu, hali yake haikuwa njema hadi umauti kumkuta alfajiri ya leo.TABASAMU MEDIA tunaungana na Watanzania kuomboleza kifo cha legendary huyu kwenye muziki tukiheshimu na kuthamini mchango wake kwenye tasnia YA Muziki

Download app ya Tabasamu Media hapa

Official reports from a close relative of C Pwaa confirming CP was suffering from pneumonia and was rushed to hospital for treatment. His condition was not good until he died this morning. in the Music industry

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here